Thursday, November 25, 2010

Wasanii wa Dar Talented Arts Group Wakiwa Mazoezini

Baadhi ya Wasanii wa Kundi la DAR TALENTED ARTS GROUP wakiwa katika mazoezi  Katika ukumbi wa Kabakabana uliopo Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam. wanajiandaa kwajili ya kuanza kuonyesha tamthiliya yao bora kabisa itakayokuwa ikionyeshwa katika kituo cha Star Tv, itakwenda kwa jina la Cinderela

No comments:

Post a Comment